Wednesday, August 28, 2013

Music Video:Lucci and Jokate - Kaka Dada (Official HD Video)

It's DIAMOND AGAIN:Video Launch -My Number One.....Are You Invited?

Yeahh It's Diamond Platnumz tena  kesho August 29 2013 anategemea kuitambulisha kwa fans wake video yake mpya kabisa ambayo picha zake zilisambaa kwenye mtandao ambapo ameishoot Afrika Kusini na hili tukio litafanyika kwenye hotel ya kifahari Dar es salaam… Serena.
 
Diamond mwenyewe anasema hakutakuwa na kiingilio kwenye uzinduzi huo lakini wataofika ni wale waliopewa mwaliko maalum kuingia kwenye hii hoteli maarufu ambayo ilizoeleka pia kuwahudumia mastaa wakubwa wa muziki kama Fabolous, Koffi Olomide na wengine lakini this time Diamond Platnums amekodi ukumbi alafu hataki watu walipe kiingilio, yani anaalika tu.