Tuesday, September 10, 2013

Another African/American Collabo:Ice Prince Ft French Montana - I Swear|Listen and Download

I Swear ArtworkMshindi wa BET award kwenye kipengele cha Best African act “Ice Prince” kutoka Nigeria ameshirikiana na msanii kutoka Bad Boys record “French Montana” kwenye wimbo wake mpya unaitwa “I swear” ambao pia unatarajiwa kuwa ndani ya album ya Ice Prince “Fire of Zamani” itakayotoka baadae mwezi huu baada ya kusogeza mbele tarehe ya kuitoa. Sikiliza na download hapa


JOKATE On Instagram:Yahusu Uhusiano Wake Na Lucci|Soma Alichokisema

Baada ya kutoka kwa kazi mpya ya Lucci na Jokate' Kaka Na Dada' Pamekuwa na maneno mengi mtaani kuwa wanamahusiano ya zaidi ya urafiki na kikazi. Well ukitazama video yao ni rahisi kuwa na fikra hizo ila ile ni kazi tu na video ni kuigiza tu. Sio kila tendo tunaloliona kwenye video ni kweli.
Leo kupitia Instagram yake Jokate amesema yote, Yako Hapa


Video Launch:Bila Kukunja Goti - Ay&Mwana FA Hosted By J-Martins from Nigeria

aymwanajmartins
BTvZlJ9IQAApyxO.jpg large

NEW TRACK:Geez Mabov Ft Fido Vato &SpacDawg - HipHop Misingi

mabovu