Another African/American Collabo:Ice Prince Ft French Montana - I Swear|Listen and Download
Mshindi
wa BET award kwenye kipengele cha Best African act “Ice Prince” kutoka
Nigeria ameshirikiana na msanii kutoka Bad Boys record “French Montana”
kwenye wimbo wake mpya unaitwa “I swear” ambao pia unatarajiwa kuwa
ndani ya album ya Ice Prince “Fire of Zamani” itakayotoka baadae mwezi
huu baada ya kusogeza mbele tarehe ya kuitoa. Sikiliza na download hapa
No comments:
Post a Comment