Saturday, July 13, 2013
FAHAMU:Prezzo vs Diamond Nani Zaidi...????
Kama umekua karibu na vichwa vya habari kwa wiki hii kuna uwezekano mkubwa ukawa umekutana na habari mbalimbali zilizoandikwa kuhusu kutoelewana kati ya Diamond Platnums na Prezzo wa Kenya ambapo inadaiwa hii ishu ilianzia magazetini
kuliko mkariri Diamond Platnums kusema angemkalisha Prezzo kwenye show ya Matumaini ambayo ilifanyika July 7 2013 Uwanja wa Taifa.
Gossip Cop Soudy Brown alipofanya mahojiano na Prezzo, staa huyu wa 254 alionyesha kutopendezwa na kauli ambazo Diamond Platnums alizitoa kwamba atamkalisha hata hivyo kwa upande mwingine alielewa kwamba Diamond ameyaongea hayo baada ya show.
Diamond alipoongea na U Heard ya XXL Clouds FM July 12 2013 akasema amekuta missedcalls za Management ya Prezzo na baadae Management hiyo ilitaka wayamalize lakini yeye akasema kama Prezzo ndio alianzisha huu mvutano kupitia Twitter inapaswa kwenda kuumalizia hukohuko kwanza.
Baada ya Diamond kuzungumza hivyo, muda mfupi baadae CMB Prezzo aliandikwa hii tweet hapa chini…
Kama ulimis, July 10 2013 Prezzo aliandika kwenye page yake ya twitter na kuonyesha kukasirishwa na alichosema Diamond kuhusu yeye kwenye gazeti na kuambatanisha hiyo tweet na picha.
Credits:Millard Ayo
HUYU NDIYE BABU ANAYETAKA KUMFUFUA BABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE ILI ASIMAMIE UCHAGUZI MKUU 2015, AZUA GUMZO KUBWA..!!
Mzee (pichani) aliyeibuka hivi karibuni akidai kuwa ana uwezo wa kumfufua Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere amezua gumzo.
Babu huyo aliibuka katika studio za Kyera FM huko mkoani Mbeya akihitaji msaada wa kumfikisha Butihama alipozikwa Mwalimu Nyerere mwaka 1999 ili amfufue.
Mzee huyo alikuwa na ufunguo mkononi ambao anadai ndiyo utakaotumika kumfufua Nyerere. Anaeleza kuwa akishamfufua Mwalimu Nyerere ndiye atakayesimamia Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015.
GOOD MUSIC:Alpha Rwirangira Feat. LaMyia Good -HEAVEN- Official video
Alpha ambaye ni raia wa Rwanda pia ni mshindi
wa shindano la Tusker project fame season 3
ndani ya wimbo na video hii amemshilikisha mwanadada
Lamyia Good ambaye ni mwanamziki wa
kimataifa kutoka marekani,Lamyia
alishilikishwa pia kwenye wimbo wa A.Y uitwao speak with ur body
..Unaweza pia kuitizama hapo chini video hiyo ya A.Y ft Lamyia &Romeo
PICHA:MTANZANIA ALIYETEMBEA KWA MIGUU KUTOKA MBEYA HADI DAR ES SALAAM
Kijana Wiseman Luvanda(23) akikamilisha safari yake ya kutoka Mbeya hadi Dar es salaam kwa miguu
Kauli mbiu yake "Tanzania nchi yangu,Taifa Stars Timu yangu, Amka wakati wa Uzalendo
Thursday, July 11, 2013
FAHAMU:Kauli Ya POLISI Tanzania kuhusu CHADEMA kuanzisha kikundi cha kujihami
Subscribe to:
Posts (Atom)