PICHA TUKIO ZIMA LA KUMSAKA MALKIA WA REDD'S MISS ARUSHA CITY CENTRE 2013 LILIVYOKUWA
Redd’S Miss Arusha City Centre 2013,
Nancy Moshi akipunga mkono mara baada ya kutawazwa mshindi wa Taji hilo
katika shindano lililofanyika Usiku wa kuamkia jana jijini Arusha. Nancy
aliwashinda warembo wenzake 10 waliokuwa wakiwania nae taji hilo.
Redd’S Miss Arusha City Centre 2013,
Nancy Moshi (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na mshindi wa pili
Glory Steven (kushoto) na mshindi wa tatu Neema Kessy mara baada ya
warembo hao kutangazwa kuwa ndio washindi wa shindano hilo lililofanyika
usiku wa kuamkia jana jijini Arusha.
Warembo wanaliokuwa wakiwania taji la
Redd’s Miss Arusha City Centre 2013 wakicheza show ya ufunguzi wa
shindano hilo jijini Arusha usiku wa Kuamkia leo.
Wadau mbalimbali wa sanaa ya Urembo mjini Arusha wakifuatilia Onesho hilo la Redd's Miss Arusha 2013.
warembo wakitupa karata zao kwa majaji wakiwa na mavazi tofauti katika kinyang'anyiro hiko.
Mwandaaji wa shindano hilo Bi Upendo (kulia) na rafiki yake.
Warembo walimfanyia tukio la kipekee Mwandaaji wao kwa Keki ya Birthday, na hapa Upendo akizima mishumaa hiyo...
Warembo wa tano kati ya 11 waliokuwa
wanawania taji la Redd’s Miss Arusha City Centre 2013 wakiwa katika
picha ya pamoja mara baada ya kutangwaza kufuzu hatua hiyo. Kutoka
kushoto ni Minael Anderson, Neema Joel, Nancy Moshi, Neema Kessy na
Glory Steven.
Mwana dada Rachel ndiye aliyekuwa
msanii kinara wa show hiyo na hapa akicheza na mashabiki wake.Ahahaha
next time cheza kwa step ukutane na mwenye mume utapewa chembe za uso
lol!
Ilipendeza kwakweli kama ulikosa pole sana
PHOTOS;CHECK OUT MUSIC LAUNCH "LOVE ME" by IZZO BIZZNESS @AMBASSADORS LOUNGE JANA USIKU
Baada
ya miezi mitatu tu tangu Izzo alipoachia single yake akiwa na Ngwea na
Quick "Ball Player",sasa usiku wa kuamkia leo ndani ya Ambassadors
Lounge ameachia single nyingine mpya "Love Me" ambayo ipo ki mapenzi
zaidi akiwa na Shaa pamoja na Barnaba.
Hizi
ni picha za mastaa na watu mbalimbali waliofika Ambassadors Lounge
kusikiliza single hiyo mpya ambayo ilipigwa live...!!!!!!!!!!!!!!!
PHOTOS:AquaNyaeriessa PacoRabanne & Josh's BirthdAY......a bLAST
Here they come Birthday Boy&Girl
Josh n'AquaNyaeriessa
Josh dat pose...wea u wokin?
The Dress & the shoes <3
Simply Amazing
They call it chocolate sponge cake
HaPpY BirThdAY
MGuu PanDEE
Mguu saaWa
Pendeza wewe
Lukin Guwd together
The Event @ JB Belamonte_Ambassadors Lounge.
Photos by:AquaNyaeriessa PacoRabanne
*Wishin u Long live*
SUPERSTAR ELIZABETH 'LULU' MICHAEL'S 18TH BIRTHDAY DINNER.(PHOTOS)
The birthday girl herself who just turned 18 like caption on the cake & her comment below the says.
Awwww so gorgeous Lulu & her lil brother
A birthday kisses to his gorgeous sister
Mama Lulu all smiles & relaxed
Dinner was served
Lulu's number one supporter Dr, Chain was there too she calls him 'Baba" meaning daddy
Ali Kiba in the house
With a friend
Lulu giving a word of thanks
Receiving a present from a friend
Beautiful
SOURCE;Zeddylicious Blog
No comments:
Post a Comment