Showing posts with label Photos. Show all posts
Showing posts with label Photos. Show all posts

Thursday, October 3, 2013

Photos:Gari Mpya aliyopewa BABY MADAHA na Record Label ya Candy n'Candy ya Kenya.

h
h
Mwanamuziki na muigizaji wa Filamu nchini Tanzania, Baby Madaha yuko nchini Kenya na tayari ameshakabidhiwa gari yake mpya aina ya Audi TT aliyopewa na Record Label ya Candy n Candy huko Kenya baada ya kusaini mkataba wa kufanya kazi na kampuni hiyo …

Photo:Chris Brown Na Drake @The Studio Baada ya beef lao kuisha.

Drake-and-Chris-Brown-studio 



Baaada ya Beef lilodumu kwa muda mrefu sasa kati ya Rapper kutoka Toronto "Drake" na Rn'B Singer Chris Brown kuisha siku chache zilizopita wazidi boresha urafiki wao baada ya wawili hao kuingia Studio pamoja....Chris Brown alipost "Hanging with Drake in the studio".....It's TIME sasa ya Mafans kusubiri mzigo mpya toka kwa Mastar wawili hao.

PHOTOS:ARUSHA jinsi ilivyokuwa in 1960's

The Arusha Hotel in 1950's

Clock Tower

Mc Moody's Restaurant

Friends Corner


Sunday, September 15, 2013

Happy Birthday To Dogo Janja All The Way From Ngarenaro Arusha.

Yeah Hapy birthday to Dogo Janja anayefikisha miaka 19 leo hii.

Janjaro On Instagram Follow Him @Janjaro



PHOTOS:Rihanna Again!!!!!.....Check Out what she did AGAIN.




Rihanna was spotted dancing out of the front entrance of her hotel, 2 evenings ago, with her tongue out as she showed off her new penis clutch purse.
The black bag, designed by Vivienne Westwood, features an embossed gold penis on the front, costs $442.
Would you rock this purse, ladies?

Friday, September 13, 2013

FASHION Photos:Flaviana Matata Hits Again|Sasa Atangaza Brandy ya "Kate Spade Saturday" ya Marekani.

fLAVY
This time Flaviana Matata amaeshiriki tena na kuonekana kutangaza Brandy kubwa ya "Kate Spade Saturday" tena akioneka wa kwanza kabisa on the officialy website ya KSS......Hizi ni baadhi ya Picha zake akitangaza brand hiyo.
C_4CMU0268_572_1_MC_4CMU0269_362_1_MC_4CMU0308_719_1_MC_4CMU0333_001_1_MC_4CMU0346_001_1_MC_4CMU0370_001_1_M

Wednesday, August 28, 2013

It's DIAMOND AGAIN:Video Launch -My Number One.....Are You Invited?

Yeahh It's Diamond Platnumz tena  kesho August 29 2013 anategemea kuitambulisha kwa fans wake video yake mpya kabisa ambayo picha zake zilisambaa kwenye mtandao ambapo ameishoot Afrika Kusini na hili tukio litafanyika kwenye hotel ya kifahari Dar es salaam… Serena.
 
Diamond mwenyewe anasema hakutakuwa na kiingilio kwenye uzinduzi huo lakini wataofika ni wale waliopewa mwaliko maalum kuingia kwenye hii hoteli maarufu ambayo ilizoeleka pia kuwahudumia mastaa wakubwa wa muziki kama Fabolous, Koffi Olomide na wengine lakini this time Diamond Platnums amekodi ukumbi alafu hataki watu walipe kiingilio, yani anaalika tu.
 


Wednesday, July 24, 2013

PICHA NA VIDEO:PRINCE William& Kate Middleton wakimuonyesha mtoto wao Hadharani.

p-9Hapa Kate Middleton na mtoto wake aliyepewa Jina la George Alexander Louis Siku Mbili baada ya kuzaliwa kwakep-5Prince William akiwa na familia yake saa24 baada ya mtot wao kuzaliwap-4Hali ilivyokuwa njee ya hospitali St.Marry's Hospitalp-24hapa wakiondoka Hospitalini Hapop-25        Video ya tukio zima angalia hapa chini

PICHA:UKIONA HII DRESS CODE UJUE INAWAKILSHA ARUSHA|Unga Ltd

 


     Hapo Kuanzia Juu ni Boshori,DoggyDoggy+Denim Shirts na Chini Trouser Mnyonyo na                Converse All Star Oversive Wanasemaga haina Gweraaaa

Saturday, July 20, 2013

PICHA:MAPOKEZI YA WANAJESHI WALIOUAWA HUKO DARFUR SUDAN.

 
Miili ya wanajeshi saba mashujaa wa Tanzania waliofariki wakiwa kazini wakitekeleza ulinzi wa amani wa kimataifa katika mkoa wa Darfur nchini Sudan, imewasili leo kwa ndege maalumu ya Umoja wa Mataifa.

Kaimu Mkurugenzi wa habari wa JWTZ, Meja Joseph Masanja amesema miili hiyo imewasili leo Jumamosi majira ya saa 9.45 alasiri katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa JNIA na imehifadhiwa katika hospitali ya jeshi ya Lugalo hadi Julai 22 ambapo itaagwa rasmi.

Miili iliyowasili ni ya Sajenti Shaibu Othuman, Koplo Oswald Chaula, Koplo Mohamed Juma, Koplo Mohamed Chikilizo, Pte. Rodney Ndunguru, Pte. Peter Werema na Pte. Fortunatus Msofe.

Shughuli za kuagwa miili ya wanajeshi hao zitafanyika katika viwanja vya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la kujenga taifa vilivyoko Upanga jijini Dar es salaam.

Kuwapoteza wanajeshi hawa ni la kwanza na kubwa kwa nchi ya Tanzania tangu Tanzania ilipoanza kuchangia walinzi wa amani chini ya Umoja wa Mataifa mwaka 2007. Wanajeshi wengine watatu wa Tanzania walifariki dunia mwezi uliopita baada ya chombo chao cha kusafiria kusombwa na maji ya mto uliokuwa umefurika huko nchini Sudan. 


Baadhi ya picha za mapokezi yao.