Friday, July 5, 2013
ALICHOKIANDIKA Mh. Zitto Kabwe kuhusu kodi mpya ya Tshs. 1,000/= kwa mwezi kwa kila laini ya simu
Maneno haya yameandikwa na Mh. Zitto Kabwe, jana tarehe 4 Julai kupitia akaunti yake ya Facebook:
“Kodi ya Tshs 1,000 kwa mwezi Kwa kila kadi ya simu uliyonayo imeanza rasmi. Bunge la wananchi, wawakilishi wa wananchi, limepitisha kodi hii. Hailipwi na kampuni ya simu, inalipwa na Wewe mwenye simu. Kampuni ya simu inakusanya Kwa niaba ya serikali. Ingawa sikuwepo wakati kodi hii inapitishwa na Bunge siwezi kukwepa wajibu wa kuaibika kuwa sehemu ya Bunge hili. Ni aibu Kwa kuwa pendekezo la kodi hii liliondolewa na Waziri wa Fedha kwenye hotuba yake ya makadirio ya mapato ya Serikali. Pendekezo lilirudishwa namna gani kupitia muswada wa fedha, finance bill, Haieleweki. Ni skandali. Nasikia vibaya sana kuwa mbunge kwenye Bunge lenye maamuzi ya namna hii. Nasikia aibu zaidi kwamba hatukupiga kelele za kutosha kuzuia jambo hili.”

S
FAHAMU:JUX UZURI WAKO|Video Shooting in CHINA|Behind The Scene photos.
Msanii wa muziki Tanzania maarufu kama Jux ambae kwa sasa makazi yake na shughuli zake nyingi pamoja na yuko kimasomo nchini China, hivi sasa yuko mbioni kuachia video ya ngoma yake inayojulikana kama “Uzuri Wako” ...
Video ya Uzuri Wako imefanywa nchini China huku audio yake ilifanywa ndani ya studio ya AM Records …Check picha za Behind the scene alizozitupia Jux Instagram
Hapa Akiwa na Model mwenyewe
Dir.Zeddy Benson Akiwa kazini
Director Huyo Zeddy Benson Kazini
FAHAMU:Rapper WAKAZI KU-PERFOM KWENYE BBA"The Chase" Eviction Party Wikiendi hii
Tanzania’s own ‘Bilingual Beast’, Wakazi, will storm the stage during Sunday night’s Big Brother: The Chase
eviction show, live on AfricaMagic Entertainment and DStv Channel 197
& 198 from 20:00 CAT. Famed for his fearsome rhymes in Swahili and
English, Wakazi will keep the energy high as audiences across the
continent wait to see which housemates will be evicted from The Chase this week.
Wakazi has
come a long way since he started rapping at high school talent shows.
With his focus shifted elsewhere by his family, he never took music
seriously – until he relocated to Chicago and his love for Hip Hop was
rejuvenated. He’s subsequently released three mixtapes, performed at
festivals in North America and opened for megastars like Ice Prince and
2Face Idibia.His signature blend of English and Swahili rhymes won him the nickname ‘Bilingual Beast’ and his ability to tell a story and mesmerizing manipulation of words and metaphors mark him out as a true creative force.
You won’t want to miss Wakazi’s lyrical Hip Hop stylings this Sunday – and don’t forget to vote to keep your favourite housemate in The Chase! The housemates in danger of eviction are Angelo, Fatima, Bimp, Cleo, Pokello, Hakeem, and Nando. Voting is open now and closes at 06:00 CAT on Sunday morning
Meanwhile, in other Big Brother news, Tumi Morake host of Big Brother Hot Room will also be making a guest appearance on StarGist, Friday 5 July at 19:30 CAT on AfricaMagic Entertainment. The South African comedienne will be talking about her life and career as well as giving an insight into the work that goes into putting the weekly satirical show together.
Big Brother: The Chase is headline sponsored by Airtel and produced by Endemol South Africa
ALBUM REVIEW:Magna Carta Holy Grail By Jay-Z|TrackList|Free Download HERE.
Jay @The Studio talking about it
ALBUM COVER
Magna Carta Holy Grail is the upcoming twelfth studio album by American rapper Jay-Z. Free DownLoad HERE
Artist : Jay-Z
Album : Magna Carta... Holy Grail
Label : Roc-A-Fella Records | Roc Nation
Total Time : 59min.:04sec.
Year : 2013
Genre : Hip-Hop
Bitrate : 320 kbps
CBR/VBR? : CBR
Tracklist
1. "Holy Grail" (featuring Justin Timberlake)
2. "Picasso Baby"
3. "Tom Ford"
4. "FuckWithMeYouKnowIGotIt" (featuring Rick Ross)
5. "Oceans" (featuring Frank Ocean)
6. "F.U.T.W."
7. "Somewhere in America"
8. "Crown"
9. "Heaven"
10. "Versus"
11. "Part II (On the Run)" (featuring Beyoncé)
12. "Beach Is Better"
13. "BBC" (featuring Nas, Justin Timberlake, Beyonce, Swizz Beatz, Pharrell & Timbaland)
14. "Jay-Z Blue"
15. "La Familia"
16. "Nickels and Dimes"
PHOTOS ALBUM LAUNCH:Magna Carta Holy Grail By Jay-Z
Wednesday, July 3, 2013
Ray C Instagram Check alichokisema.
Mwanadada Ray C leo hii kupitia ukurasa wake wa instagram ameachia
ujumbe huu kwaajili ya mashabiki zake na kuwashukuru kwa support yao.
Ametirikia hivi:
FAHAMU:Cpwaa Asaini na Universal Music Group...Soma na Sikiliza alichokisema HAPA.
On March 13, 2013 Universal Music Group, in partnership with Samsung, as well as African and international music labels and publishers, has launched a pan-African mobile music streaming service called the Kleek. Designed and built specifically for Africa, the Kleek will bring music lovers closer to their favorite artists, while also providing artists with valuable access to a wider pan-African audience.
This new deal will make CPwaa not only to gain more revenues from his music but also a worldwide exposure and global outreach through the Kleek.
To learn more about the Kleek go here
http://thekleek.com/
http://www.universalmusic.com/corporate/detail/2458
http://www.theverge.com/2013/3/14/4103286/universal-music-samsung-the-kleek-music-streaming-africa
Source:Millard Ayo
''Swagg off the limits'', Tazama kitu Justin Bieber alichoamua kulifanya gari lake ili tu likae 'kijanja' kama yeye
Hili ndilo tukio
lingine ambalo limemrudisha Mwanamuziki Justin Bieber kwenye Headlines
tena, This tym round, ikiwa ni kutokana na kitendo chake cha kuamua
kutoa kiasi cha paundi 125,000, ambazo ni zaidi ya
shilingi 309,000,000 kwaajili ya kubadilisha rangi ya gari yake.
Bieber ameamua kuliweka gari hili rangi sawasawa na na muonekano wa
chui, na habari za uhakika kutoka ndani ya team ya msanii huyu zinasema
kuwa, Staa huyu aliamua kufanya mchongo huu ili kuwezesha gari yake
ku-match na mtoko wake wa 'kichui-chui' aliokuwa amejipanga kushine nao
kwa siku moja.
Hivi ndio gari ya staa huyu inavyoonekana baada ya kufanyiwa mabadiliko.
Tuesday, July 2, 2013
DIAMOND AANIKA JUMLA YA MAPATO YAKE ALIYOINGIZA KWENYE SHOW ZA MWEZI ULIOPITA WA JUNE..!!
Staa wa Kesho, Diamond ameendelea kupiga hela kwa show nyingi
zinazomfuata kila kukicha. Wingi wa show hizi unazidi kumfanya kuwa
miongoni mwa wasanii wachache wa Tanzania wenye pesa nyingi zaidi.
Tumejaribu kuangalia baadhi ya show alizofanya mwezi huu, atakazofanya mwishoni mwa mwezi huu na mwezi ujao ili kukadiria ni kiasi gani anaweza kuwa ameingiza. Baadhi ya show tunafahamu ni kiasi gani aliingiza huku zingine tukikadiria kutokana na jinsi anavyochaji.
Show ya nchini Comoro 22 June
Katika show hii alisema alilipwa si chini ya dola 25,000 za kimarekani ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 38.
Show za Usiku wa wasafi Tabora 28 na 29 June
Mara nyingi katika show za ndani Diamond hachukui si chini ya shilingi milioni 10 kwa show mbili huenda akawa amelipwa zaidi ya shilingi milioni 15.
Show ya Tigo Mwanza 30 June
Katika show za makampuni kama hizi Diamond hulipwa si chini ya shilingi milioni 10.
Kili Music Tour 2013
Tulipata taarifa kuwa Diamond atafanya show kwenye mikoa minne na kwamba amelipwa shilingi milioni 50 kwa show zote.
Show ya Matumaini 7 July
kwenye hii show diamond ana zaid ya mil.10
Show ya Kenya 27 July
Kwenye show hii Diamond atashare stage na mastaa wa Nigeria, Ice Prince na Davido na hapa kama alivyosema kuwa katika show za nje ya nchi huwa hachukui chini ya dola 15,000. Kuna uwezekano hapa akawa amelipwa zaidi ya shilingi milioni 20.
Kama una calculator basi unaweza ukapiga hesabu mwenyewe ni kiasi gani ameingiza kwa show za June na July. Kumbuka pia kuwa show zote hata za July tayari ameshasaini mkataba na ameshalipwa chake tayari. Kitu kama milioni 140 na usheee!!
Pia kumbuka ni balozi wa Cocacola na hulipwa kila mwezi kwa shughuli zinazohusiana na deal hiyo. Katikati wa mwezi July pia kuna uwezekano akawa na show zingine kibao.
“Siku zote ishi ukikumbuka, Maisha ni Vita, vita ambayo mwisho wake ni siku ya wewe kuingia kaburini, hivyo haupaswi kuchoka wala kukata tamaa.Heshima, Juhudi na Maombi ndio nguzo pekee zitazokusaidia wewe kushinda Vita hii… tambua Mwenyezi Mungu ndiye Muweza na Mpaganga wa yote,” anasema Diamond.

NANDO WA TANZANIA APENDEKEZWA KUTOKA NDANI YA JUMBA LA BIG BROTHER...KURA YAKO INAHITAJIKA.
Mchezo unazidi kuwa mgumu kadri siku zinavyozidi kwenda sababu idadi ya wanaopaswa kuendelea na mchezo ndivyo inavyohitajika kuwa ndogo mpaka siku ya 91 atakapobaki mtu mmoja wa kukabidhiwa $300,000 kama zawadi ya BBA The Chase.
Nominations za wiki hii zimewagusa baadhi ya washiriki ambao hawajawahi kabisa kupendekezwa kutoka, na wengine ambao wameshawahi kupendekezwa mara moja na zaidi lakini waliokolewa na kura za watazamaji.
Baada ya kupona kutoka wiki iliyopita na kuwa HOH , cheo kilichompa nafasi ya kujiokoa katika nomination zilizopita Nando wa Tanzania ameungana na washiriki wengine 6 katika orodha ya majina yaliyotajwa na Biggie kuingia katika kikaango cha eviction ya wiki hii.
Washiriki ambao wameingia kwa mara ya kwanza katika nominations za wiki hii ni pamoja na aliyekuwa kipenzi cha Huddah mjengoni, Angelo wa Afrika Kusini ambaye amewekwa na HOH wa wiki hii Elikem aliyejiokoa na nafasi yake kumuwekea yeye.
Fatima wa Malawi, Bimp wa Ethiopia pamoja na Cleo wa Zambia ndio washiriki wengine ambao wameingia dangerzone kwa mara ya kwanza toka mchezo umeanza.
Washiriki ambao waliwahi kupendekezwa na kuokolewa na kura za watazamaji na wameingia tena wiki hii ni pamoja na Pokello wa Zimbabwe, Hakeem wa Zimbabwe pamoja na Nando wa Tanzania.
Wiki hii Ghana na Nigeria ndio zimekalia viti vya utawala wa nyumba, Ruby ikiongozwa na Elikem na Melvin akiiongoza Diamond.
Kura yako inahitajika kumwokoa Nando ili aendelee kubaki na kuiwakilisha Tanzania katika msimu wa 8 wa BBA The Chase unaoendelea Afrika Kusini.
Subscribe to:
Posts (Atom)