Showing posts with label Celebrity news. Show all posts
Showing posts with label Celebrity news. Show all posts

Thursday, October 3, 2013

Photos:Gari Mpya aliyopewa BABY MADAHA na Record Label ya Candy n'Candy ya Kenya.

h
h
Mwanamuziki na muigizaji wa Filamu nchini Tanzania, Baby Madaha yuko nchini Kenya na tayari ameshakabidhiwa gari yake mpya aina ya Audi TT aliyopewa na Record Label ya Candy n Candy huko Kenya baada ya kusaini mkataba wa kufanya kazi na kampuni hiyo …

Photo:Chris Brown Na Drake @The Studio Baada ya beef lao kuisha.

Drake-and-Chris-Brown-studio 



Baaada ya Beef lilodumu kwa muda mrefu sasa kati ya Rapper kutoka Toronto "Drake" na Rn'B Singer Chris Brown kuisha siku chache zilizopita wazidi boresha urafiki wao baada ya wawili hao kuingia Studio pamoja....Chris Brown alipost "Hanging with Drake in the studio".....It's TIME sasa ya Mafans kusubiri mzigo mpya toka kwa Mastar wawili hao.

NEW VIDEO:Rihanna - Pour it up

Wednesday, August 28, 2013

It's DIAMOND AGAIN:Video Launch -My Number One.....Are You Invited?

Yeahh It's Diamond Platnumz tena  kesho August 29 2013 anategemea kuitambulisha kwa fans wake video yake mpya kabisa ambayo picha zake zilisambaa kwenye mtandao ambapo ameishoot Afrika Kusini na hili tukio litafanyika kwenye hotel ya kifahari Dar es salaam… Serena.
 
Diamond mwenyewe anasema hakutakuwa na kiingilio kwenye uzinduzi huo lakini wataofika ni wale waliopewa mwaliko maalum kuingia kwenye hii hoteli maarufu ambayo ilizoeleka pia kuwahudumia mastaa wakubwa wa muziki kama Fabolous, Koffi Olomide na wengine lakini this time Diamond Platnums amekodi ukumbi alafu hataki watu walipe kiingilio, yani anaalika tu.
 


Wednesday, July 24, 2013

Cpwaa Breaks|Sasa nyimbo zake zaanza patikana on "iTunes"....Check out hapa


Cpwaa Universal Music 2
Cpwaa anakwambia…. Ninayo furaha kuwajulisha kwamba sasa kazi zangu zote za muziki zitakuwa zinapatikana kwenye mitandao yote ya kununua nyimbo za wasanii duniani. Tayari nishasambaza Album yangu ya kwanza ” Pwaa The Album” na singles zingine kama “Hmmm”, na “Mambo” kwenye mitandao ifuatayo:
iTunes, Amazon MP3, Spotify, Google Play, Xbox Music, Deezer, Rhapsody, Simfy, MySpace Music, Nokia, Wimp, Sony Music Unlimited,Napster, Verve Life, Media net, Shazam,eMusic, iHeartRadio, Muve Music, and Rdio.
kwa wale mliokosa nafasi ya kujipatia nakala za album yangu ya kwanza, hii ni fursa kwenu kujipatia Album hiyo kupitia mitandao hii kwa bei nafuu sana. Tupeane support ili tukuze muziki wetu.
kwa sasa namalizia kurekodi album yangu ya pili ambayo ipo kwenye mahadhi ya kimataifa zaidi na punde ikikamilika ntaanza kuachia single moja moja kupitia mitandao hii, mitandao ya simu kwa njia ya RBT na pamoja na wa “The Kleek” chini ya mkataba wangu mpya na Universal Music Group.
Asanteni sana na hii hapa ni link ya kupata nyimbo zangu zote kupitia iTunes, https://itunes.apple.com/album/pwaa-the-album/id676185780
cp music

PICHA NA VIDEO:PRINCE William& Kate Middleton wakimuonyesha mtoto wao Hadharani.

p-9Hapa Kate Middleton na mtoto wake aliyepewa Jina la George Alexander Louis Siku Mbili baada ya kuzaliwa kwakep-5Prince William akiwa na familia yake saa24 baada ya mtot wao kuzaliwap-4Hali ilivyokuwa njee ya hospitali St.Marry's Hospitalp-24hapa wakiondoka Hospitalini Hapop-25        Video ya tukio zima angalia hapa chini

MUSIC VIDEO:KELLY ROWLAND - Dirty Laundry

Friday, July 19, 2013

FAHAMU:10 BEST ALBUMS WIKI HII


1] Jay Z - Magna Carta... Holy Grail

2] Ciara – Ciara


3] J Cole - Born Sinner 
 
4] Florida Georgia Line - Here's To The Good Times


5] Imagien Dragons - Night Visions 
 

6] Kanye West - Yeezus


7] Wale - The Gifted


8] Skylar Gray - Don't Look Down 
 

9] Daft Punk - Random Access Memories 

10] Macklemore & Ryan Lewis - The Heist 

FAHAMU:Eminem Kukataa Kuigiza Kwenye Filamu Ya Elysium. Fahamu Nani Kachukua Nafasi Yake.

 
Awali Ilisemekana kuwa star Eminem amepigwa chini kwenye orodha ya stars waliochaguliwa kuigiza kwenye filamu mpya ya "Elysium".Bonyeza Read More kufahamu Zaidi
Sasa chukua hii, Ukweli ni kwamba Rapper/ Actor Eminem alikata kuigiza kwenye filamu hio baada ya watayarishaji kumwambia kuwa mji wake wa Detroit haupo kwenye orodha ya sehemu itakayo fanya hio filamu.
Eminem anafahamika kuwa mstari wa mbele katika kuonyesha mapenza na mji wake wa Detroit huko Michigan na mapenzi hayo yamesababisha akose nafasi ya kuwa Main Character wa Filamu ya Elysium. Sehemu hio amepewa mwigizaji Matt Damon aliye kuwa mtu wa tatu kwenye orodha ya watu wanaoweza kuicheza hio sehemu vizuri kwa mujibu wa Director wa filamu hio Neil Blomkamp's.

Kwa mujibu wa Rolling Stone, Mtu wa kwanza kupewa mchongo huo alikuwa rapper kutoka South Africa Ninja.
  
 Elysium Ipo theaters August 9.  
Credit:Sam Misago

Thursday, July 18, 2013

INSTAGRAM||DIAMOND "AWAPA MAKAVU" HATERS



Inaonekana Diamond amechoshwa na haters wanaosubiri aanguke kimuziki na kumcheka...


Kupitia mtandao wa Instagram, Diamond ameamua kutupia picha inayomuonyesha akianguka kutoka juu (angani) na kufikia chini kwa kichwa kwenye barabara ya lami. 


Picha hiyo ilisindikizwa  na maelezo yanayosema , "Najua hiki ndio mnachokisubiri, kwahiyo endeleeni kusubiri"...# Haters
 

NEW VIDEO:LIL WAYNE - "GOD BLESS AMERIKA"

 http://api.ning.com/files/wrxP0oBpcejnll9Efp63QSaE*ZVU9ZFMfaFdZjieLHT8N9c4m6tAnD8vzrLbUPmKnunThPbtf7EPaKf*1mHZuJtzqzO4iHR9/weezy.png
Lil Wayne ameachia video mpya ya wimbo wake unaoitwa “God Bless Amerika” Video hiyo imeongozwa (Directed) na Eif Rivera na ilishutiwa katika mji wa nyumbani Hollygrove New Orleans, kule kitaani wanapoishi watu wa chini wenye maisha ya kawaida. Kwa sasa Wayne yuko kwenye tour yake inayoitwa America’s Most Wanted akiwa na T.I, 2 Chainz na wengine wageni waalikwa. Leo usiku watakuwa Pittsburgh. “God Bless America” imetoka kwenye album ya Weezy inayoitwa “ I Am Not Human Being II”…check video hapo chini…

MTV Music VIDEO AWARDS|FULL NOMINEES LIST



  Msimu mwingine wa MTV Video Music Awards na mwaka huu inaenda huko Brooklyn sehemu anayotokea Jay – Z nah ii ni kwa mara ya kwanza. Itakuwa tarehe 25 Agosti na watu mashuhuri wanaofanya muziki kutoka duniani watatokea kwenye stage hiyo hiyo ni HOV built Barclays Center. Check list nzima ya vipengele na washiriki.
                                                            Video of the Year
                                                     Justin Timberlake – “Mirrors”
                                         Macklemore & Ryan Lewis feat. Wanz – “Thrift Shop”
                                               Bruno Mars – “Locked Out of Heaven”
                                        Robin Thicke feat. T.I. and Pharrell – “Blurred Lines”
                                            Taylor Swift – “I Knew You Were Trouble”

Best Hip Hop Video
Macklemore & Ryan Lewis feat. Ray Dalton – “Can’t Hold Us”
Drake – “Started From The Bottom”
Kendrick Lamar – “Swimming Pools”
A$AP Rocky feat. Drake, 2 Chainz and Kendrick Lamar – “F–kin’ Problems”
J. Cole feat. Miguel – “Power Trip”

Best Male Video
Justin Timberlake – “Mirrors”
Robin Thicke feat. T.I. and Pharrell – “Blurred Lines”
Bruno Mars – “Locked Out of Heaven”
Ed Sheeran – “Lego House”
Kendrick Lamar – “Swimming Pools”

Best Female Video
Rihanna feat. Mikky Ekko – “Stay”
Taylor Swift – “I Knew You Were Trouble”
Miley Cyrus – “We Can’t Stop”
Pink feat. Nate Ruess – “Just Give Me A Reason”
Demi Lovato – “Heart Attack”

Best Pop Video
Bruno Mars – “Locked Out of Heaven”
Justin Timberlake – “Mirrors”
Fun. – “Carry On”
Miley Cyrus – “We Can’t Stop”
Selena Gomez – “Come and Get It”

Artist To Watch (Formerly Best New Artist)
Twenty One Pilots – “Holding On To You”
Zedd feat. Foxes – “Clarity”
Austin Mahone – “What About Love”
The Weeknd – “Wicked Games”
Iggy Azalea – “Work”

Best Collaboration
Justin Timberlake, feat. Jay-Z – “Suit & Tie”
Pitbull feat. Christina Aguilera – “Feel This Moment”
Calvin Harris feat. Ellie Goulding – “I Need Your Love”
Robin Thicke feat. T.I. and Pharrell – “Blurred Lines”
Pink feat. Nate Ruess – “Just Give Me A Reason”

Best Video With A Social Message
Kelly Clarkson – “People Like Us”
Macklemore & Ryan Lewis – “Same Love”
Snoop Lion – “No Guns Allowed”
Miguel – “Candles in the Sun”
Beyoncé- “I Was Here”

Best Rock Video
Imagine Dragons – “Radioactive”
Fall Out Boy – “My Songs Know What You Did in the Dark (Light Em Up)”
Mumford & Sons – “I Will Wait”
Thirty Seconds To Mars – “Up in the Air”
Vampire Weekend – “Diane Young”

Best Art Direction
Capital Cities – “Safe and Sound”
Thirty Seconds To Mars – “Up in the Air”
Janelle Monae feat. Erykah Badu – “Q.U.E.E.N”
Lana Del Rey – “National Anthem”
Alt-J – “Tesselate”

Best Choreography
Chris Brown – “Fine China”
Ciara – “Body Party”
Jennifer Lopez feat. Pitbull – “Live It Up”
will.i.am feat. Justin Bieber – “#thatPOWER”
Bruno Mars – “Treasure”

Best Cinematography
Thirty Seconds To Mars – “Up in the Air”
Lana Del Rey – “Ride”
Yeah Yeah Yeahs – “Sacrilege”
Macklemore & Ryan Lewis feat. Ray Dalton – “Can’t Hold Us”
A-Trak & Tommy Trash – “Tuna Melt”

Best Direction
Justin Timberlake feat. Jay-Z – “Suit & Tie”
Macklemore & Ryan Lewis feat. Ray Dalton – “Can’t Hold Us”
Yeah Yeah Yeahs – “Sacrilege”
Fun. – “Carry On”
Drake – “Started From The Bottom”

Best Editing
Pink feat. Nate Ruess – “Just Give Me A Reason”
Calvin Harris feat. Florence Welch – “Sweet Nothing”
Macklemore & Ryan Lewis feat. Ray Dalton – “Can’t Hold Us”
Justin Timberlake – “Mirrors”
Miley Cyrus – “We Can’t Stop”

Best Visual Effects
Capital Cities – “Safe and Sound”
Duck Sauce – “It’s You”
Flying Lotus – “Tony Tortures”
Skrillex feat. the Doors – ”Breakn’ a Sweat”
The Weeknd – “Wicked Games”

Monday, July 15, 2013

FAHAMU:DUDE AUVAA uYAHAYA KATIKA VIDEO MPYA YA LADY JAY DEE...



Video ya hitsong ya mwanadada komando Lady Jay Dee imeanza kushutiwa leo jioni, na DUDE ndiye aliyevaa uhalisia kama YAHAYA kwenye video hiyo. KAA TAYARI kuiona video hiyo
Credit:The Official A.B '93

Sunday, July 14, 2013

MASHABIKI WAACHA KUANGALIA MPIRA NA KUANZA KUMSHANGAA HASHEEM THABEET JANA UWANJA WA TAIFA



 Mtanzania anayecheza kikapu katika Ligi ya Marekani maarufu kama NBA, Hasheem Thabeet, amekuwa kivutio kikubwa kwa mashabiki wa soka kwenye Uwanja wa Taifa,Dar.
 
Thabeet anayecheza katika timu ya Thunder, aliibuka na kuwasalimia mashabiki wakati Taifa Stars ikivaa Uganda nao walimshangilia kwa nguvu sana.

NEW MUSIC:Dj Choka/Deddy/M-Rap/Mabeste/Gosby - LATINO NATION........Coomin sooon

PICHA:JACKLINE NTUYABALIWE (K'LYINN) NA FAMILIA YAKE

.
Klyinn yukwapi? tunasikia kaolewa ila hatuna uhakika, muda ulipopita…. tunasikia kapata Watoto mapacha? …………….hayo ni baadhi ya maswali ya Watanzania waliokua wanazipenda na kuzifatilia kazi za mwimbaji ambae ni former Miss Tanzania Jacqueline Ntuyabaliwe.
millardayo.com imemmilikisha rasmi Klyn kwenye hii post akiwa sasa hivi ni mama wa watoto wawili mapacha kama unavyowaona hapa chini na Baba yao mzazi.
Hapa chini ni baadhi ya picha za Klyinn na watoto wake pamoja na kazi anayofanya kwa sasa.
K LYN 3
K LYN 2

Saturday, July 13, 2013

Lil Wayne - God Bless Amerika (Video Teaser).....The official music video will premiere Today.

GOOD MUSIC:Alpha Rwirangira Feat. LaMyia Good -HEAVEN- Official video

 alpha
Alpha ambaye ni raia wa Rwanda pia ni mshindi
 wa shindano la Tusker project fame season 3
ndani ya wimbo na video hii amemshilikisha mwanadada
 Lamyia Good ambaye ni mwanamziki wa
 kimataifa kutoka marekani,Lamyia
 alishilikishwa  pia kwenye wimbo wa A.Y uitwao speak with ur body
..Unaweza pia kuitizama hapo chini  video hiyo ya A.Y ft Lamyia &Romeo