Clip iliyosambaa inayomuhusisha Wema
Diamond na Penny imefika ndani ya blog yako, clip ambayo inaonekana
kurecodiwa kwa maksudi na Diamond pale alipopigiwa simu na Wema Sepetu
jana usiku. Inasemekana Wema alimpigia simu Diamond usiku,lakini baada
ya Diamond kupokea alimtaka kuacha drama na kumsisitizia kuwa sasa hivi
anampenda Penny.
maongezi yako hivi
Diamond: mi sikufanyii drama na wala sitaki drama yoyote, am inlove with penny we unajua hilo right?
Wema: yeah your inlove with penny and i i ...
Diamond: sipendi kwasababu
sipendezewi kwasababu mwisho wa siku itakuja kutuletea matatizo drama,
nakujua kitu kidogo hukawi kukifanya kikubwa mji mzima na nini na nini
sitaki.
Penny: hallo, which one is this? hallo hallo
Wema: mmmh
Penny: hallo
Wema: mh
Penny: we want to sleep mamy
Wema: heey my angle poa
Penny: baby wacha tulale ya?
Wema: mmh
Penny: wacha sisi tulale
Wema: uko poa
Penny: niko poa mamy yangu, can you
let us sleep now mmh, si hatutaki matatizo na wewe we usitake matatizo
na sisi, lets just live one happy life
Wema: he told you am the one who is troubling him
Penny: yeah but you are always trying
to cause trouble wema, your always trying to cause trouble, when did
you want something peaceful,when? i mean when he said look here, when he
said, he is in love with me, i dont know, for some reasons i expected
you to respect that, because all you have done is to bring us trouble,
seriously, and all this things you do, they tell us kwamba wewe ndio
unafanya, so lets just see......you sleep, us guys sleep, and act like
this comversation never even happened, good night, good night, wema ,
wema (kimya)
Diamond: nadhani dishi wenyewe
mmelisikia, haina haja ya kuongea sana, mmewasikiliza, tulikuwa niko
mimi halima kimwana, na mke wangu hapa, mimi ndio nimepigiwa simu na
wema nabembelezwa, bahati mbaya kakuta nambaya, pia nikampa baby aongee
nae, kumjulisha jinsi gani niko inlove, asanteni sana nilikua narecord
mi mwandishi wako Nasib Abdul Juma, nashkuru sana sana
baada ya clip hiyo kuskika Sudy Brown alimpigia wema na kuongea nae juu ya hil..
Wema: Mi sijaongea na mtu jana, like
us in aaah nimee no as in nimeambia halafu sikujua kama iko iko this
big, kama wananichokoa wapate kiki, kwasababu wanaona kama hawana kiki
then thats something else unajua eeh, kiki watafute sehem nyingine sio
kwa wema sepetu, sawa mi ninajijuwa me am a star, am a star like all
over tanazania hakuna star kama mimi sawa eeh, kwahiyo kama wanaona kama
wanaweza kupata kiki kwa kutokana mimi kama star because they are
looking for names, thats fucked up owkey. Sudy mi nakuheshimu sana wewe
na nnajiheshimu sana na mimi mwenye...........
sitaki kuanza kuchokonolewa kuanza
kutengenezewa sijui vitugani, mi nimeskia tu kupitia bbm sijui nimekaa
tu kimya, am just quite na sijafanya kitu chochote am just quite, and am
just going to stay quite, na usingenipigia simu mi ningeendelea kukaa
kimya.
Sudy: skia bado unampenda Diamond?
Wema: Hapana siwezi kumpenda, wewe
kumtamani?
Siwezi
kwanini?
hasa wa kazi gani mi nishadili na
Diamond and its done, haikuwa rizki kila mtu ameenda na mambo yake, am
very very happy where iam......
Diamond nae alivutiwa waya, chezea Sudy wewe
ile clip ilikuwa jana, jana kanipigia
simu usiku naona simu yangu inaita aaah najiuliza nani, napokea aah
akawa anibembeleza nini na nini yeah, mi nikamwambia wema mi nina
mahusiano yangu sasa hivi..........uzuri nilikuwepo na baby pale pale,
ili kesho na kesho kutwa asije kukataa, nilimrikodi mwanzi mwisho......
Sudy: Wema anasema we utakuwa unatafuta kiki
Diamond: mimi? mi nayeye nani
anatafuta kiki, yeye si ndio kanipigia simu, ye ndo atakua anatafuta
kiki ya kutaka kurudiana na mimi, kanipigia simu jana usiku
akinibembeleza kurudiana na mimi ndio maana nikampa simu mke wangu
nkamwambia ongea nae......