h
Mwanamuziki na
muigizaji wa Filamu nchini Tanzania, Baby Madaha yuko nchini Kenya na
tayari ameshakabidhiwa gari yake mpya aina ya Audi TT aliyopewa na
Record Label ya Candy n Candy huko Kenya baada ya kusaini mkataba wa
kufanya kazi na kampuni hiyo …
No comments:
Post a Comment