Wednesday, March 27, 2013

HII NDIO COVER MPYA YA SINGLE INAYOFATA YA KANYE WEST



Wakati wote Kanye anapotaka kutoa album yake inakuwa kama ni event, matokeo yake vyombo vya habari na ,mashabiki wanashindwa kusubiri kujua kuhusu  ujio wake mapema iwezekanavyo.
kwa bahati mbaya, matarajio yao yanapelekea kuwepo kwa nyepesi nyepesi na ripoti ambazo saa nyingine zinakuwa sio za kweli, kwanfano kumekuwa na ripoti kadhaa kuwa album ya 6 ya West itakuwa inaitwa black American physcho, mara Rich Black American, na sasa kuwa ni Iam God
kutokana na post ya The Huffington, mtu wa karibu sana na Kanye kuwa "Iam God" sio jina la tittle ya album, lakini haliko mbali na tittle ya single yake inayofata.
msanii chini ya G.O.O.D. Music,Malik Yusef amethibitisha tittle kupitia mtandao wa twitter 
@teamkanyechi its “I am(A) GOD” FAMO #psalms 82
— Malik Yusef (@malikyusef) March 26, 2013
inasemekana title hiyo imetokana na passage kwenye biblia Psalms 82:6-7 ambayo inasema “I have said, Ye are Gods and all of you are children of the Most High. But ye shall die like men, and fall like one of the princes.”
tofauti ndogo ya kuongeza  “a”  kuifanya iwe “I Am A God” ni kutofautisha kuwa wimbo hau suggest kuwa Kanye mwenyewe ndio the Creator lakini mtu huyo huyo ananguvu ya kuwa  greater being.
West amekuwa na historia ya kuhusisha idea na picha za kidini katika kazi zake. moja kati ngoma zake zilizofanya vizuri ni “Jesus Walks”  kutoka kwenye album ya off The College Dropout, alitokea kwenye cover ya Rolling Stone akiwa na taji la miba ambalo huwa linaonekana kwenye picha ya yesu, cheni kubwa yenye miungu ya Egymp Horus katika video ya "Power" na "Watch the throne", No church in the wild" amegusia theme ya morality versus decadence.
mpaka sasa haijatangazwa single wala album hiyo itatoka lini

No comments:

Post a Comment