Showing posts with label HotLulu. Show all posts
Showing posts with label HotLulu. Show all posts
Monday, September 9, 2013
Wednesday, August 21, 2013
Wednesday, July 3, 2013
Sunday, June 30, 2013
HATIMAYE LULU AFANYA INTERVIEW YA KWANZA TANGU ATOKE JELA.
mengine mengi. Naye Lulu kupitia mtandao mmoja wa kijamii aliandika. “Kwa zaidi ya mwaka na nusu sasa!!!hii ni interview yangu ya kwanza baada ya kipindi chote hicho....thanks zamaradi….”
Tuesday, May 14, 2013
“Elizabeth Michael(HotLulu) ndiye mwigizaji anayeongoza kwa mvuto mitandaoni” – Film Central
UNAPOKUWA mtu maarufu unafuatiliwa kwa vitu mbalimbali, pengine
unapokuja katika tasnia ya filamu ungependa kufahamu kuwa ni msanii gani
mwenye mvuto katika mitandao ya kijamii ambaye tu anpofanya tukio lake
na video hiyo ikawekwa katika mitandao ya kijamii na kufunguliwa na
kuangaliwa na watu wengi.
Kwa utafiti uliofanywa na Film Central, msanii mwenye mvuto katika
mitandao na kufuatiliwa habari zake na watu wengi ni Elizabeth Michael
‘Lulu’ ambaye ndio msanii anayeongoza kwa video za matukio yake kuwa na
mvuto na kutembelewa na watu wengi baada ya video yake tu kuwekwa katika mtandao kwa mujibu wa you tube....Soma zaidi
Subscribe to:
Posts (Atom)