Showing posts with label M-Rap Lion. Show all posts
Showing posts with label M-Rap Lion. Show all posts

Tuesday, May 21, 2013

NEW JOINT: ATTENTION / MRAP FEAT DEDDY

                          


      From B hitz Produced By Pancho Latino

Thursday, May 9, 2013

NEW MUSIC:ATTENTION---M-Rap Lion Featuring Deddy Comming soooon!!

 


M-Rap toka B'hitz Music Group Tz, baada ya DESTINY aja na Balaa jengine. Ni muda sasa toka kuachia ngoma yake chini ya Ulinzi mkali wa Pancho Latino na Hermy B, M-Rap amesema wakati wowote kuanzia sasa atakuja na ATTENTION ambayo amempa shavu tena mkali toka B'hitz "DEDDY".
Lion amesema, Watu wangu wakae tayari muda wowote kuanzia sasa ntaachia huo mzigo. #ATTENTION.. Ngoma moja kali sanaa. Hip Hop moja ya baridiii sana zaidi ya kipupwe cha ICU..
"Usiniuzie cheni feki ntakupa pesa ya bandia|ukijidai unanisntch ntajifanya sijakuskia. Poa yataingilia kushoto afu ntayatolea kulia|huwezi ukajiua kwa kubana pumzi yako, heheeee UTAUMIA ..
Unaweza kuMfollow kwenye Twitter @MrapLion 
Photo: #ATTENTION Usiniuzie cheni feki ntakupa pesa ya bandia| ukijidai unanisntch ntajifanya sijakuskia, poa yataingilia kushoto afu ntayatolea kulia|Huwezi ukajiua kwa kubana pumzi yako, heeeh UTAUMIA.... #ATTENTION #ATTENTION