Tuesday, June 11, 2013
Video Director Nisher AWASHUKURU Watanzania
Video Director/Producer Nisher Bybee From Arusha Kupitia Facebook Acc. yake leo amewashukuru Watanzania wote kwa Kukubali kazi zake kutokana Kuikubali na kuwa na mapokezi mazuri Ya VIDEO mpya ya Ben Pol-JIKUBALI aliyoitengeneza yeye mwenyewe na kuiachia rasmi Mapema Leo.Hivi ndivyo alivyoandika;
"Napenda kuchukua nafasihii Kumshukuru MWENYEZI MUNGU , LUCCI pamoja na BEN POL kwa kunipa Nafasi nyingine ya Kujikubali....... hii VIDEO IMEPOKELEWA KWA SHANGWE ZOTE, NIKUSHUKURU WEWE ZAIDI KWA KUIKUBALI!!!!!"
Pia unaweza Kuiangalia video yenyewe Hapo Chini Ujionee mwenyewe.
Labels:
Celebrity news,
inspirational,
News,
Nisher,
Photos
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment