

Diamond mwenyewe anasema hakutakuwa na kiingilio kwenye uzinduzi huo lakini wataofika ni wale waliopewa mwaliko maalum kuingia kwenye hii hoteli maarufu ambayo ilizoeleka pia kuwahudumia mastaa wakubwa wa muziki kama Fabolous, Koffi Olomide na wengine lakini this time Diamond Platnums amekodi ukumbi alafu hataki watu walipe kiingilio, yani anaalika tu.

No comments:
Post a Comment