Jeneza lenye mwili wa Albert Mangweha likishushwa kaburini.
M2 THE P
amefanikiwa kutoa salamu zake za mwisho kwa rafiki yake kipenzi ambaye
alikuwa naye huko Afrika kusini tena walikuwa ndani ya chumba kimoja
kabla ya mauti kumkuta Ngwea.: http://audifacejackson.blogspot.com
Rafiki
wa karibu wa marehemu Albert Mangweha, Mgaza Pembe 'M 2 The P'
akiumuaga swahiba wake katika Uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro.
No comments:
Post a Comment