Basi kama ushawahi kuiona au kuhisikia basi hii ndio Tshirt ya
gharama ya Juu kuliko zote duniani , Ni French Brand ya Hermes, ambayo
imetengenezwa kwa ngozi ya mamba! Tshirt hii ina thamani ya
dola $90,000. Inayoonekana tu hapo juu inathamani ya dola $91,500
kwenye Hermes Boutique Duniani kote.
No comments:
Post a Comment