Utafiti uliofanywa kutazama ni
mrembo gani video Queen wa Kenya alieandikwa sana kwenye internet toka
video mpya ya P Unit ya You Guy itoke, umeonyesha kwamba model huyu
aliecheza kwenye hiyo video Vera Sidika a.k.a Vee Beiby ndio ameandikwa sana kwa zaidi ya stori 120 kwenye internet.
Nakumbuka siku chache tu baada
ya hiyo video kutoka, taarifa zilisambaa kutoka Kenya kwamba video hiyo
imefungiwa kurushwa kwenye kituo cha Citizen Tv kutokana na ukali wa
picha, hasa za huyu mrembo.
SOURCE:Millard Ayo
No comments:
Post a Comment