Majeruhi aliyeokolewa.
Mwili wa mmojawapo wa marehemu.
Wananchi wa eneo hilo wakiwa na simanzi baada ya ajali hiyo.
----------
Watu zaidi ya 18 wanahofiwa kuwa
wamepoteza maisha baada ya kufukiwa na kifusi wakiwa ndani ya mgodi wa
Morrum huko Moshono jijini Arusha.
Kwa sasa wanajeshi wanaendelea na zoezi la uokoaji na tayari majeruhi mmoja ameokolewa na miili ya watu watatu.
Tukio hili linatokea ikiwa ni siku
siku tatu baada ya maafa mengine kutokea jijini Dar es Salaam ambapo
watu zaidi ya 30 wamepoteza maisha baada ya jengo la ghorofa 16
kuporomoka.
No comments:
Post a Comment