Eneo lilizongushiwa linalosadikika bomu kurushwa
kwa matibabu zaidi, taarifa zilizo hivi sasa zinadai kwamba mtu mmoja anashikiriwa na Jeshi la Polisi kuhusiana na tukio hilo.
Shambulio hilo la kigaidi limeacha maswali mengi bila majibu huku jeshi
la Polisi Arusha likiendelea kumhoji mtuhumiwa huyo, shambulio hilo
lilifanyika wakati wa uzinduzi wa kanisa hilo.Baadhi ya majeruhi
Viongozi wa Kanisa
Wanasualama Mkoa wa Arusha, wakijadiliana jambo katika eneo la tukio
Meya wa Manispaa ya Arusha, Mh gaundence Lyimo
Magesa Mulongo akiteta na RCO wa Mkoa wa Arusha
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Magesa Mulongo akizungumza na mmoja wa mapadri wa Kanisa hilo kupewa maelezo ya kuhusu kilichotokea kanisani hapo.
No comments:
Post a Comment