Few minutes ago, mwanamuziki
LADY JAYDEE ametangaza kujitokeza kwa msanii ambae anadai alishafanya single yake ya sasa inayojulikana kama
JOTO, HASIRA ... Ikimaanisha ni kama
JAYDEE ameurudia wimbo huo ...
According to mwanadada huyo, mtu huyo ni kutoka nchi jirani ya
KENYA ... Check alichoandika
LADY JAYDEE hapa chini ...
No comments:
Post a Comment