Saturday, July 13, 2013

FAHAMU:Prezzo vs Diamond Nani Zaidi...????

Prezzo July 7 2013 na Nelly 1
Kama umekua karibu na vichwa vya habari kwa wiki hii kuna uwezekano mkubwa ukawa umekutana na habari mbalimbali zilizoandikwa kuhusu kutoelewana kati ya Diamond Platnums na Prezzo wa Kenya ambapo inadaiwa hii ishu ilianzia magazetini
kuliko mkariri Diamond Platnums kusema angemkalisha Prezzo kwenye show ya Matumaini ambayo ilifanyika July 7 2013 Uwanja wa Taifa.
Gossip Cop Soudy Brown alipofanya mahojiano na Prezzo, staa huyu wa 254 alionyesha kutopendezwa na kauli ambazo Diamond Platnums alizitoa kwamba atamkalisha hata hivyo kwa upande mwingine alielewa kwamba Diamond ameyaongea hayo baada ya show.
Diamond alipoongea na U Heard ya XXL Clouds FM July 12 2013 akasema amekuta missedcalls za Management ya Prezzo na baadae Management hiyo ilitaka wayamalize lakini yeye akasema kama Prezzo ndio alianzisha huu mvutano kupitia Twitter inapaswa kwenda kuumalizia hukohuko kwanza.
Baada ya Diamond kuzungumza hivyo, muda mfupi baadae CMB Prezzo aliandikwa hii tweet hapa chini…
Prezzo July 12 2013 on Beef on ama vpKama ulimis, July 10 2013 Prezzo aliandika kwenye page yake ya twitter na kuonyesha kukasirishwa na alichosema Diamond kuhusu yeye kwenye gazeti na kuambatanisha hiyo tweet na picha.
Prezzo on Diamond Platnums July 10 2013 Prezzo on Diamond Platnums July 10 2013 gazeti lenyewe 
Credits:Millard Ayo

No comments:

Post a Comment