Showing posts with label Prezzo. Show all posts
Showing posts with label Prezzo. Show all posts

Saturday, July 13, 2013

FAHAMU:Prezzo vs Diamond Nani Zaidi...????

Prezzo July 7 2013 na Nelly 1
Kama umekua karibu na vichwa vya habari kwa wiki hii kuna uwezekano mkubwa ukawa umekutana na habari mbalimbali zilizoandikwa kuhusu kutoelewana kati ya Diamond Platnums na Prezzo wa Kenya ambapo inadaiwa hii ishu ilianzia magazetini
kuliko mkariri Diamond Platnums kusema angemkalisha Prezzo kwenye show ya Matumaini ambayo ilifanyika July 7 2013 Uwanja wa Taifa.
Gossip Cop Soudy Brown alipofanya mahojiano na Prezzo, staa huyu wa 254 alionyesha kutopendezwa na kauli ambazo Diamond Platnums alizitoa kwamba atamkalisha hata hivyo kwa upande mwingine alielewa kwamba Diamond ameyaongea hayo baada ya show.
Diamond alipoongea na U Heard ya XXL Clouds FM July 12 2013 akasema amekuta missedcalls za Management ya Prezzo na baadae Management hiyo ilitaka wayamalize lakini yeye akasema kama Prezzo ndio alianzisha huu mvutano kupitia Twitter inapaswa kwenda kuumalizia hukohuko kwanza.
Baada ya Diamond kuzungumza hivyo, muda mfupi baadae CMB Prezzo aliandikwa hii tweet hapa chini…
Prezzo July 12 2013 on Beef on ama vpKama ulimis, July 10 2013 Prezzo aliandika kwenye page yake ya twitter na kuonyesha kukasirishwa na alichosema Diamond kuhusu yeye kwenye gazeti na kuambatanisha hiyo tweet na picha.
Prezzo on Diamond Platnums July 10 2013 Prezzo on Diamond Platnums July 10 2013 gazeti lenyewe 
Credits:Millard Ayo

Monday, May 13, 2013

KUBWA KULIKO ZOTE WEEKEND HII TWITTER| KUHUSIANA NA DIVA,PREZZO & HUDDAH MONROE


Hii ndo the hit story kwenye social network zote





baada  ya  la hapo juu mambo yakawa mambo haya sasa jionee Drama in Dar City






hizo zilikuwa breakfast tweets kwa mheshimiwa mbunge,

vamimi

. Pliz handle this woman from kenya that been so busy attacking me. Attacking my country as well, mfunzeni .

Naye Huddah Monroe Prezzo's Ex-girlfriend Boss lady from kenya na Tweet zake











Thursday, May 9, 2013

PHOTOS:PREZZO ALINASA PENZI LA LOVENESS DIVA.....Sikiliza alichokisema Prezzo

Huenda  watangazaji wa kike wa Clouds FM humchanganya sana, Prezzo. ...

Kama unakumbuka aliwahi kudai kuwa hasemi wala haongei kwa uzuri wa Dj Fetty. 

 
Na sasa habari  za  kitaa ni kwamba jicho la rapper huyo mwenye asili ya Kenya na Tanzania limetua kwa mtangazaji wa kipindi cha Ala za Roho, Loveness Diva. Wiki iliyopita, Diva alimwalika Prezzo kwenye show yake na huenda ukaribu huo uliongezeka zaidi siku hiyo.

Kwa mujibu wa You Heard ya Clouds FM, Diva na Prezzo ni item.

“Diva siwezi kumwachia bwana, nimwachie nichekwe,” alisema Prezzo. 
 
“Bado mahari tu mshkaji wangu inatoka kutoka Mwanza. Only time can tell, nikikuambia sasa hivi ukweli wangu ntamaliza uhondo. Inaitwa yaani love at first sight, Diva mwenyewe umeshamwona, she is classy yaani she is beautiful,” alisisitiza Prezzo ambaye jina lake ni Jackson Makini.
 
Hata hivyo Diva amekanusha kwa kudai kuwa yeye na Prezzo ni marafiki tu.
Unaweza kusikiliza hapo chini