Showing posts with label Huddah Monroe. Show all posts
Showing posts with label Huddah Monroe. Show all posts
Saturday, July 13, 2013
Friday, June 28, 2013
DIVA BADO ANA BIFF NA HUDDAH!! CHECK TWEETS ZA DIVA KWA HUDDAH LEO Baada Ya Interview na XXL(Clouds Fm)
Kama utakua ni muumini wa twitter
lazima utakuwa unajua kinachoendelea kati ya mshiriki wa BBA kutoka
Kenya (2013), Huddah na mtangazaji Diva Loveness love.
kiufupi ni tweef ( bif kupitia twitter) kisa kikiwa ni CMB Prezzo
Sasa leo hii katika interview
tuliyofanya na Hudda amesema hana uhusiano na Prezzo, ni rafiki yake tu,
na hana beef yoyote na Diva na kwanza hamfaham.
"you know mimi hupenda kutoa maoni
yangu, so saa ile mi natoa maoni yangu mtu ana-judge vingine, mi sina
bif na Diva, na simjui, na kama uli-notice i only replied three times."
unajua mi niliandika "lol" after
seeing her tweet calling Prezzo "baby", why? i just find it funny, so
yeye ndio akawa anaandika all that" amesema Hudda
kwa inavyoonekana Diva alikua
akisikiliza radio wakati interview ikiendelea, na haikumchukua dakika
sifuri, akahusika twitani na kuandika
SOURCE:Dj Fetty
Thursday, June 6, 2013
PHOTOS:HUDDAH wa Kenya Apokolewa na Prezzo Akitokea BBA Na leo akutana na waandishi wa habari
Akiongea na waandishi wa habari mapema leo
Akipose for a photoshot
Friday, May 17, 2013
Subscribe to:
Posts (Atom)

