Kama utakua ni muumini wa twitter
lazima utakuwa unajua kinachoendelea kati ya mshiriki wa BBA kutoka
Kenya (2013), Huddah na mtangazaji Diva Loveness love.
kiufupi ni tweef ( bif kupitia twitter) kisa kikiwa ni CMB Prezzo
Sasa leo hii katika interview
tuliyofanya na Hudda amesema hana uhusiano na Prezzo, ni rafiki yake tu,
na hana beef yoyote na Diva na kwanza hamfaham.
"you know mimi hupenda kutoa maoni
yangu, so saa ile mi natoa maoni yangu mtu ana-judge vingine, mi sina
bif na Diva, na simjui, na kama uli-notice i only replied three times."
unajua mi niliandika "lol" after
seeing her tweet calling Prezzo "baby", why? i just find it funny, so
yeye ndio akawa anaandika all that" amesema Hudda
kwa inavyoonekana Diva alikua
akisikiliza radio wakati interview ikiendelea, na haikumchukua dakika
sifuri, akahusika twitani na kuandika
SOURCE:Dj Fetty
No comments:
Post a Comment