Showing posts with label KTMA. Show all posts
Showing posts with label KTMA. Show all posts

Saturday, June 8, 2013

HII NDO KAULI YA RAMA DEE KWA CLOUDS Fm BAADA YA KUSHINDA TUNZO

KALA JEREMIAH NA OMMMY DIMPOZ WAONGOZA KWA KUJINYAKULIA TUZO TATU TATU KILA MMOJA

Mwaka huu umekuwa mwaka mzuri zaidi kimuziki kwa msanii toka rock City Mwanza Kala Jeremiaha ambae maombi yake kwa ‘Dear God’ yamesikika na amepata majibu kwa njia ya kipekee na wimbo wake ‘Dear God’ umeweza kuchukua tuzo tatu katika Kilimanjaro Music Awards 2013.  
 
Kala Jeremiah ametumia mkuki mmoja kunasa ‘swala’ wake watatu muhimu mwaka huu, Dear God imeweza kumpa nafasi kubwa na kushinda tuzo katika kipengele cha wimbo bora wa Hip Hop.


Nguvu ya wimbo huo hapana shaka ndiyo imemuwezesha pia kuondoka na tuzo ya msanii bora wa Hip Hop na Mtunzi bora wa mashairi ya Hip Hop.

Kala aliweza kuwapenya wasanii wazito kama Fid Q, Joh Makini, Mwana FA, Profesa Jay na mdogo wake katika game Stamina wa Moro Town waliokutana nae katika vipengele vya Hip Hop.

Wimbo huu ulitengenezwa na mtayarishaji chipukizi Dee Classic ambae pia alikuwa anawania tuzo katika kipengele cha mtayarishaji chipukizi wa Mwaka lakini hakuweza kushinda tuzo hiyo ambayo ilienda kwa Mesen Selector.

Embedded image permalink
Msanii mwingine wa bongo fleva aliyeng’ara katika tuzo hizo ni Ommy Dimpoz ambae pia aliondoka na Tuzo tatu, ambazo ni Video bora ya wimbo bora ya mwaka, wimbo bora wa Bongo Pop ‘Me and You’ akiwa na Vannessa Mdee ambao pia uliwapa tuzo ya wimbo bora wa kushirikishwa/kushirikiana.

Wasanii na watayarishaji wa muziki wa bongo fleva ambao kwa mara ya kwanza wameweza kujishindia tuzo za Kili ni pamoja na kundi la Jambo Squared toka Arusha (Kundi bora la muziki wa kizazi kipya), Rama Dee ‘Kinega’ (Wimbo bora wa RnB ‘Kuwa na subira).

Wengine ni Amini (Wimbo bora wa Zouk Rhumba ‘Ni wewe’), Recho (Msanii bora wa kike Bongo fleva), na Nay wa Mitego (Wimbo bora wa Hip Hop ‘Nasema Nao’). Mesen Selecter (Mtayarishaji chipukizi wa Mwaka), Ali Nipishe (Msanii bora anaechipukia).

Tuzo hizo zimeshuhudiwa huku mfalme na malkia wa muziki wa kibongo wakitangazwa kuwa Lady Jay Dee ‘Anaconda’ (Msanii bora wa Kike) na Diamond Platinumz (Msanii bora wa kiume).

PHOTOS:Kili Music Awards(KTMA) 2013 + Yote yaliyojiri

Embedded image permalink 
Millard Ayo & Jokate
Embedded image permalink 
Host Zembwela
Watoto Wa Bibi"Jambo Squard" Kundi Bora la Mwaka
 Embedded image permalink 
Warriors From The East Best Raggae Song
 Embedded image permalink 
Amin & Linahh

Embedded image permalink 
Gardner G Habash akipokea tuzo ya msanii Bora wa Kike kwa niaba ya Lady Jaydee
Embedded image permalink 
Omy Dimpoz

Embedded image permalink 
Chaz Baba na tunzo Zake
 Embedded image permalink 
Mashujaa Band Bora ya Mwaka

Embedded image permalink 
Mtunzi Bora Wa Bongo Fleva
PERFORMANCES
 Embedded image permalink 
Amin
 Embedded image permalink
Linah Rockin 
 Embedded image permalink
Madee
 Embedded image permalink
Embedded image permalink 
Rich Mavoko
KTMA 2013 RED CARPET
Embedded image permalink 
Meneja KLM beer @KTMA red Carpet

 
Tayana, Millard Ayo na Jokate.
 
Kala Jeremiah
Embedded image permalink 
Embedded image permalink 
Embedded image permalink 
Ben Pol @The Red Carpet
Embedded image permalink 
Jose Mara
 Adam Mchomvu.
 
Maulid Kitenge, Millard Ayo na Jokate.
Millard Ayo, Brand Manger wa bia ya Kilimanjaro George Kavishe na Jokate Mwegelo.

WATCH KILI MUSIC AWARDS TANZANIA (KTMA) LIVE HERE

HII NDO STAGE YA KILI MUSIC AWARDS(KTMA)....Kickin OFF TONIGHT

.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
. 
SOURCE:Millard Ayo