Showing posts with label Reginald Mengi. Show all posts
Showing posts with label Reginald Mengi. Show all posts

Sunday, July 14, 2013

PICHA:JACKLINE NTUYABALIWE (K'LYINN) NA FAMILIA YAKE

.
Klyinn yukwapi? tunasikia kaolewa ila hatuna uhakika, muda ulipopita…. tunasikia kapata Watoto mapacha? …………….hayo ni baadhi ya maswali ya Watanzania waliokua wanazipenda na kuzifatilia kazi za mwimbaji ambae ni former Miss Tanzania Jacqueline Ntuyabaliwe.
millardayo.com imemmilikisha rasmi Klyn kwenye hii post akiwa sasa hivi ni mama wa watoto wawili mapacha kama unavyowaona hapa chini na Baba yao mzazi.
Hapa chini ni baadhi ya picha za Klyinn na watoto wake pamoja na kazi anayofanya kwa sasa.
K LYN 3
K LYN 2

Saturday, June 8, 2013

"MNAOWANIA URAIS MSIKUBALI KUPOKEA PESA ZA HUYU MFANYABIASHARA FISADI AMBAYE NI KINARA WA MADAWA YA KULEVYA".... REGINALD MENGI


Mwenyekiti wa makampuni ya IPP Reginald Mengi ametoa ya moyoni kwa wote wenye mpango wa kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania miaka miwili ijayo.


Bwana Mengi ameyatoa maombi yake ya moyoni na kuyaweka hadharani kupitia akaunti yake ya twitter June 7, na hiki ndicho alichokiandika.

“Nawaombea Mungu wanaotaka Urais wasipokee mshiko wa mfanyabiashara fisadi mkubwa ambaye pia ni kinara wa madawa ya kulevya.”

Swali ni mfanyabiashara gani, hilo linaweza kuwa ni jiwe gizani kama yupo kweli aliyetajwa litakuwa limemfikia. 
Na  kama  kuna  msomaji  wetu  anayemjua, ANARUHUSIWA  KUMTAJA  kwenye  COMMENTS  hapo  chini