Mwenyekiti
wa makampuni ya IPP Reginald Mengi ametoa ya moyoni kwa wote wenye mpango wa
kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania miaka miwili ijayo.
Bwana Mengi
ameyatoa maombi yake ya moyoni na kuyaweka hadharani kupitia akaunti yake ya
twitter June 7, na hiki ndicho alichokiandika.
“Nawaombea
Mungu wanaotaka Urais wasipokee mshiko wa mfanyabiashara fisadi mkubwa ambaye
pia ni kinara wa madawa ya kulevya.”
Swali ni
mfanyabiashara gani, hilo linaweza kuwa ni jiwe gizani kama yupo kweli
aliyetajwa litakuwa limemfikia.
Na kama kuna msomaji wetu anayemjua, ANARUHUSIWA KUMTAJA kwenye COMMENTS hapo chini
No comments:
Post a Comment