Awali
Ilisemekana kuwa star Eminem amepigwa chini kwenye orodha ya stars
waliochaguliwa kuigiza kwenye filamu mpya ya "Elysium".Bonyeza Read More
kufahamu Zaidi
Sasa
chukua hii, Ukweli ni kwamba Rapper/ Actor Eminem alikata kuigiza
kwenye filamu hio baada ya watayarishaji kumwambia kuwa mji wake wa
Detroit haupo kwenye orodha ya sehemu itakayo fanya hio filamu.
Eminem
anafahamika kuwa mstari wa mbele katika kuonyesha mapenza na mji wake
wa Detroit huko Michigan na mapenzi hayo yamesababisha akose nafasi ya
kuwa Main Character wa Filamu ya Elysium. Sehemu hio amepewa
mwigizaji Matt Damon aliye kuwa mtu wa tatu kwenye orodha ya watu
wanaoweza kuicheza hio sehemu vizuri kwa mujibu wa Director wa filamu
hio Neil Blomkamp's.
Kwa mujibu wa Rolling Stone, Mtu wa kwanza kupewa mchongo huo alikuwa rapper kutoka South Africa Ninja.
Elysium Ipo theaters August 9.
Credit:Sam Misago
No comments:
Post a Comment