Baada
ya miezi mitatu tu tangu Izzo alipoachia single yake akiwa na Ngwea na
Quick "Ball Player",sasa usiku wa kuamkia leo ndani ya Ambassadors
Lounge ameachia single nyingine mpya "Love Me" ambayo ipo ki mapenzi
zaidi akiwa na Shaa pamoja na Barnaba.
Hizi
ni picha za mastaa na watu mbalimbali waliofika Ambassadors Lounge
kusikiliza single hiyo mpya ambayo ilipigwa live...!!!!!!!!!!!!!!!
SOURCE;Dj Fetty
No comments:
Post a Comment