Monday, April 29, 2013

PHOTOS : JAY-Z Na CHRIS MARTIN Katika Mechi Ya Jana Kati Ya MAN UTD Na ARSENAL Huko London ...

Rapper JAY-Z amekuwa spotted katika BARCLAYS PREMIERE LEAGUE match iliyochezwa jana katika ya timu za MANCHESTER UNITED na ARSENAL ... JAY-Z ameonekana katika uwanja wa EMIRATES katika match hiyo akiwa na rafiki yake wa karibu na lead singer wa kundi la Coldplay, CHRIS MARTIN ... Katika picha hizo, pia anaonekana mtoto wa CHRIS MARTIN, Moses ...

No comments:

Post a Comment