Kutokana kesi iliyokuwa inamkabili mbunge wa arusha mjini Mh.Godbless Lema Kutupiliwa
mbali na mahakama kuu mjini Arusha leo,ameachiwa huru na kusababisha maandamano makubwa mjini Arusha yaliyoanzia mahakama kuu mpaka Makao makuu ya CHADEMA Ngarenaro Arusha kushangilia Ushindi wa Mbunge huyo.
Mh.Joshua Nassari akiwasili
Baadhi Ya Mabango
No comments:
Post a Comment