Jana ilikuwa ni siku ya MAMA katika sehemu nyingi duniani ... Ingawa inasemekana siku hii huwa haisherehewi kila sehemu duniani ... DRAKE alikuwa home nchini CANADA ... katika jiji la TORONTO huku akionekana kuwa karibu na MAMA yake mzazi wakiutumia muda huo mzuri kwa pamoja ...
Check picha hapa chini :
Check picha hapa chini :
Katika siku hiyo, watu maarufu wengine kama Victor Ortiz, Dina Manzo na Adrienne Bailon pia walikuwepo kusherehea siku hiyo ...
HAPPY MOTHER'S DAY ...
No comments:
Post a Comment