Sunday, July 14, 2013

MASHABIKI WAACHA KUANGALIA MPIRA NA KUANZA KUMSHANGAA HASHEEM THABEET JANA UWANJA WA TAIFA



 Mtanzania anayecheza kikapu katika Ligi ya Marekani maarufu kama NBA, Hasheem Thabeet, amekuwa kivutio kikubwa kwa mashabiki wa soka kwenye Uwanja wa Taifa,Dar.
 
Thabeet anayecheza katika timu ya Thunder, aliibuka na kuwasalimia mashabiki wakati Taifa Stars ikivaa Uganda nao walimshangilia kwa nguvu sana.

No comments:

Post a Comment