INSTAGRAM||DIAMOND "AWAPA MAKAVU" HATERS
Inaonekana Diamond amechoshwa na haters wanaosubiri aanguke kimuziki na
kumcheka...
Kupitia mtandao wa Instagram, Diamond ameamua
kutupia picha inayomuonyesha akianguka kutoka juu (angani) na kufikia
chini kwa kichwa kwenye barabara ya lami.
Picha hiyo ilisindikizwa na
maelezo yanayosema , "Najua hiki ndio mnachokisubiri, kwahiyo endeleeni kusubiri"...# Haters
No comments:
Post a Comment