Tuesday, March 26, 2013

22 yrs old Julie Wang'ombe alieandika speech ya ushindi ya Raisi Uhuru Kenyatta wa kenya

Julie Wang'ombe pichani mwenye umri wa miaka 22 ndo aliyeandika speech ya ushindi ya Raisi Mteule wa Kenya Uhuru Kenyata.Speech hiyo ya ushindi iliyosomwa Jumamosi baada ya Uhuru kutangazwa kushinda katika uchaguzi huo.Binti huyo ana kipaji cha kusoma mashairi.Mcheki zaidi katika video hii hapo chini.

No comments:

Post a Comment