Wednesday, March 27, 2013

Kim Kardashian akanusha kuwatukana wanaigeria


Lei hii ilikuwa ni gumzo kupitia mtandao wa twitter pale ilipoonekana tweet kutoka kwa star wa reality show "Keeping up with the Kadarshian" na baby mama wa Kanye West, Kim Kadarshian iliyokuwa ikiwakejeli wanaigeria kuwa nchi yao inakera na kuwa wanawake wao wanafanana na masokwe 
Baada ya tweet hiyo kusambaa ghafla kama kirusi, Kim aliamua kuandika na kukanusha kuwa sio kweli, na kuwa sio yeye alieandika tweet hiyo na kudai ilifanyiwa photo shop

No comments:

Post a Comment