Wednesday, March 27, 2013

This is from Chris brown & Rihhana

Rihanna, Chris Brown
Kutoka katika mahojiano ambayo Chris Breezy ameyafanya hivi karibuni, inawezekana kwa kiasi kikubwa kuwa hivi karibuni, yeye pamoja na the 'suga' wake, Rihanna wanaweza kuingia studio kwa mara nyingine na kurekodi collabo.


Chris ambaye kwa sasa anashughulikia kukamilisha albam yake mpya, katika mahojiano haya amesema kuwa ana project mpya ambayo inakwenda kwa jina 'X' ambayo itatoka mwezi Mei na hii pia itamhusisha rapa mpya anayetishia kwa sasa, Kendrick Lamar.

Kutoka katika maneno yake aliyosema kuhusiana na kazi hii na Rihanna (nukuu);
“I wrote a song for her called “Put It Up” that we did together, It’s still in the pot of songs we have to pick from. It may or may not make it, but you know, because she’s already on it, it’s a strong possibility.” - sooo, kwa maana nyingine ni kwamba Put it Up ndio kazi ambayo tunasikilizia sasa kutoka kwa Chris Breezy na Rihanna.

No comments:

Post a Comment