
Filamu
ya Terminator itakuwa na mwendelezo wa Sehemu ya tano mwakani, kwa
mujibu wa mwigizaji mkongwe wa filamu hizo Arnold Schwarzeneger
amethibitisha kurejea kwenye filamu hio na kuanza kufanyiwa kazi Januari
mwaka 2014 na atapokea Script ya filamu hiyo mwezi ujao. Arnold
ameshawahi kuwa Governor wa California na ana miaka 65 sasa. Kwa sasa
Arnold anafanya ziara nchi tofauti za ulaya huku akiongea na vijana
kuhusu njia tofauti za kufanikiwa kimaisha na kujiendeleza.
Schwarzenegger amesema studio zinataka afanye filamu Zingine
atakazoigiza kama Conan the Barbarian Kwenye King Conan na Julius
Benedict kwenye Twins iliyoitwa Triplets.
No comments:
Post a Comment