Showing posts with label CONDOLENCES. Show all posts
Showing posts with label CONDOLENCES. Show all posts

Monday, June 17, 2013

PICHA:MSANII WA HIP HOP LANGA AKIAGWA NA KUZIKWA LEO

Watu walioudhuhuria nyumbani alipokuwa akiishi marehemu Langa kwa ajili ya kumuaga msanii huyo wa Hip Hop Langa aliyefariki Alhamisi iliyopita 13/6/2013 katika hospitali ya taifa ya Muhimbili Dar es salaam.

Sunday, June 16, 2013

NEW VIDEO:Various Artist--GOODBYE(An Official Tribute To LANGA) #R.I.P

 
Artists : Various Artists
Track : Goodye
Prod. : Christon/NK productios
Filmed, Edited & Directed By Jerry Mushala A tribute music video I did for my late friend Langa. Featured Varios Artists. I did finish the music video for a total of 16 hours. ( 4 hours of shooting plus 12 consecutive hours of editing...) 


Thursday, June 6, 2013

ANGALIA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA MOROGORO MAZISHI YA MANGWEA

Jeneza lenye mwili wa Albert Mangweha likishushwa kaburini.
M2 THE P amefanikiwa kutoa salamu zake za mwisho kwa rafiki yake kipenzi ambaye alikuwa naye huko Afrika kusini tena walikuwa ndani ya chumba kimoja kabla ya mauti kumkuta Ngwea.: http://audifacejackson.blogspot.com
Rafiki wa karibu wa marehemu Albert Mangweha, Mgaza Pembe 'M 2 The P' akiumuaga swahiba wake katika Uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro. 

PHOTOS:HAPA NDIPO ALIPOZIKWA MAGWEA

 

295509_10152916043890525_1672230411_n

PICHA YANAYOJIRI MOROGORO:WANANCHI WAKITOA HESHIMA ZA MWISHO KW MAGWEA

 Mama Mzazi wa Mangweha, Denisia Mangweha akiwa nyumbani kwake kabla ya safari kuelekea Uwanja wa Jamhuri.

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera akiwasili nyumbani kwa Mama mzazi wa Mangweha.

 Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera asubuhi hii amefika nyumbani kwa Mama Mangwea eneo la Kihonda Mazimbu Road na kumpa pole kwa niaba ya wakazi wote wa mkoa wa Morogoro. Baada ya kutoa pole, Mhe. Bendera aliongoza umati wa watu kutoka Kihonda kuelekea Uwanja wa Jamhuri kwa shughuli za kuaga mwili wa Albert Mangwea aliyefariki dunia Mei 28 mwaka huu nchini Afrika Kusini. Mangwea anatarajiwa kuzikwa katika makaburi ya Kihonda nje ya Kanisa la Mtakatifu Monica jirani kabisa na alipozikwa baba yake mzazi Mzee Keneth Mangwea.

ANGALIA PICHA ZA M2 THE P AKIMUAGA RAFIKI YAKE ALBERT MANGWEA MJINI MOROGORO

M2  THE P amefanikiwa  kutoa  salamu zake  za  mwisho  kwa  rafiki yake  kipenzi  ambaye  alikuwa  naye  huko  Afrika  kusini  tena  walikuwa  ndani  ya  chumba  kimoja  kabla ya  mauti  kumkuta Ngwea..Mwanzoni, M 2 THE P alikuwa  amefichwa  na  kudanganywa  kuwa  Ngwea  alikuwa  ametangulia  Tanzania. Baadaye  Maggie  alilazimika  kumweleza  ukweli  .http://audifacejackson.blogspot.com.....

Monday, June 3, 2013

UPDATE: HATIMAYE WANTANZANIA WAISHIO AFRIKA KUSINI WAUAGA MWILI WA ALBERT MANGWEA.


Watanzania waishio nchini South Africa wamepata nafasi ya kuuaga mwili wa Albert Ngwea kuelekea katika safari ya mwisho wakiongozwa na Msanii Bushoke na Mtoto wa Mhe. Kingunge Ngombale mwiru, Kinjeketile wanaosimamia mipango ya kuaga mwili nchini Afrika kusini...

Mwili  wa  marehemu  utaletwa Tanzania  kesho  saa  nane.....