Thursday, June 6, 2013

Binti wa Michael Jackson alazwa baada ya kujaribu kujiua.Check Picha zake jinsi alivyokua

 Paris-Jackson-suicide-attempt-3
Binti wa Michael Jackson, Paris, alikimbizwa hospitali Jumatano alfajiri baada ya kilichotajwa kuwa ni kujaribu kujiua, kwa mujibu wa website ya TMZ. Msemaji wa polisi amesema polisi waliharakisha kwenye nyumba anayoishi Paris Jackon, jijini Los Angeles kwa ajili ya “medical situation.” Msemaji wa polisi alikataa kutaja mhusika.

Paris aliandika tweets zinazoonyesha alikua katika hali ya huzuni Jumanne usiku kama: ““yesterday, all my troubles seemed so far away now it looks as though they’re here to stay” na “i wonder why tears are salty?” TMZ wamesema chanzo chao kwamba Paris alijaribu kujiua, na kuongeza aliondolewa nyumbani kwa machela baada ya mtu mwingine nyumbani hapo kupiga simu na kuripoti “drug overdose.”

Chanzo kilichokua karibu na familia ya Jackson kimesema Paris alikua na mikato kadhaa kwenye mikono. Chanzo hicho kiliongeza kuwa hii sio mara ya kwanza kwa binti huyo kujaribu kujiua, lakini safari hii ilikua serious zaidi.

Ukiachilia mbali habari hizo, nimeshangazwa na picha za Paris Jackson jinsi alivyokua mkubwa. Mara ya mwisho nilimuona katika msiba wa baba yake. Anyway, angalia picha zake mwenye hapa chini jinsi alivyobadilika.
paris-jackson-suicide-0
paris-jackson-suicide-attempt
Paris-paris-jackson-suicide
paris-jackson-suicide-0
Paris-Jackson-suicide-attempt-1

No comments:

Post a Comment